Muhtasari wa maelezo. Athari za janga la COVID-19 kwa wakimbizi na ulinzi wao nchini Kenya, Uganda, Ghana, Nigeria, Afrika Kusini na Zimbabwe

Please use this identifier to cite or link to this item:
https://doi.org/10.48693/101
Open Access logo originally created by the Public Library of Science (PLoS)
Title: Muhtasari wa maelezo. Athari za janga la COVID-19 kwa wakimbizi na ulinzi wao nchini Kenya, Uganda, Ghana, Nigeria, Afrika Kusini na Zimbabwe
Authors: Segadlo, Nadine
Krause, Ulrike
Zanker, Franzisca
Edler, Hannah
Abstract: Janga la sasa la COVID-19 linaathiri watu wote kote ulimwenguni lakini wale walio katika nafasi za hatari, ikiwemo wakimbizi na watu waliohamishwa, wanaweza kuwa katika hatari zaidi. Katika somo la karibuni, tuliangalia ambavyo janga la COVID-19 liliathiri wakimbizi na ulinzi wa kikimbizi katika nchi sita katika Afrika Magharibi, Afrika Mashariki na Afrika Kusini, kwa majina Ghana, Kenya, Nigeria, Afrika Kusini, Uganda, na Zimbabwe, katika mwaka wa kwanza wa janga na mpaka pia February 2021. Kwa kutumia dodoso lisilio la uwakilishi, tulitaka kupata yaliomo ndani katika mitazamo ya watu walio na mandhari nyuma ya kikimbizi, wasomi, wafanyakazi wa serekali na watendaji wa misaada wanaofanya na au kwa wakimbizi. Jumla ya 90 waliohojiwa walijaza dodoso.
Citations: Segadlo, Nadine; Krause, Ulrike; Zanker, Franzisca; Edler, Hannah (2021), 'Muhtasari wa maelezo. Athari za janga la COVID-19 kwa wakimbizi na ulinzi wao nchini Kenya, Uganda, Ghana, Nigeria, Afrika Kusini na Zimbabwe', online.
URL: https://doi.org/10.48693/101
https://osnadocs.ub.uni-osnabrueck.de/handle/ds-202204216694
Subject Keywords: Covid-19; Pandemic; Refugees
Issue Date: 10-Dec-2021
License name: Attribution 3.0 Germany
License url: http://creativecommons.org/licenses/by/3.0/de/
Type of publication: Verschiedenartige Texte [report]
Appears in Collections:FB01 - Hochschulschriften

Files in This Item:
File Description SizeFormat 
Zusammenfassung Swahili.pdf117,2 kBAdobe PDF
Zusammenfassung Swahili.pdf
Thumbnail
View/Open


This item is licensed under a Creative Commons License Creative Commons