Muhtasari wa maelezo. Athari za janga la COVID-19 kwa wakimbizi na ulinzi wao nchini Kenya, Uganda, Ghana, Nigeria, Afrika Kusini na Zimbabwe
Bitte benutzen Sie diese Kennung, um auf die Ressource zu verweisen:
https://doi.org/10.48693/101
https://doi.org/10.48693/101
Titel: | Muhtasari wa maelezo. Athari za janga la COVID-19 kwa wakimbizi na ulinzi wao nchini Kenya, Uganda, Ghana, Nigeria, Afrika Kusini na Zimbabwe |
Autor(en): | Segadlo, Nadine Krause, Ulrike Zanker, Franzisca Edler, Hannah |
Zusammenfassung: | Janga la sasa la COVID-19 linaathiri watu wote kote ulimwenguni lakini wale walio katika nafasi za hatari, ikiwemo wakimbizi na watu waliohamishwa, wanaweza kuwa katika hatari zaidi. Katika somo la karibuni, tuliangalia ambavyo janga la COVID-19 liliathiri wakimbizi na ulinzi wa kikimbizi katika nchi sita katika Afrika Magharibi, Afrika Mashariki na Afrika Kusini, kwa majina Ghana, Kenya, Nigeria, Afrika Kusini, Uganda, na Zimbabwe, katika mwaka wa kwanza wa janga na mpaka pia February 2021. Kwa kutumia dodoso lisilio la uwakilishi, tulitaka kupata yaliomo ndani katika mitazamo ya watu walio na mandhari nyuma ya kikimbizi, wasomi, wafanyakazi wa serekali na watendaji wa misaada wanaofanya na au kwa wakimbizi. Jumla ya 90 waliohojiwa walijaza dodoso. |
Bibliografische Angaben: | Segadlo, Nadine; Krause, Ulrike; Zanker, Franzisca; Edler, Hannah (2021), 'Muhtasari wa maelezo. Athari za janga la COVID-19 kwa wakimbizi na ulinzi wao nchini Kenya, Uganda, Ghana, Nigeria, Afrika Kusini na Zimbabwe', online. |
URL: | https://doi.org/10.48693/101 https://osnadocs.ub.uni-osnabrueck.de/handle/ds-202204216694 |
Schlagworte: | Covid-19; Pandemic; Refugees |
Erscheinungsdatum: | 10-Dez-2021 |
Lizenzbezeichnung: | Attribution 3.0 Germany |
URL der Lizenz: | http://creativecommons.org/licenses/by/3.0/de/ |
Publikationstyp: | Verschiedenartige Texte [report] |
Enthalten in den Sammlungen: | FB01 - Hochschulschriften |
Dateien zu dieser Ressource:
Datei | Beschreibung | Größe | Format | |
---|---|---|---|---|
Zusammenfassung Swahili.pdf | 117,2 kB | Adobe PDF | Zusammenfassung Swahili.pdf Öffnen/Anzeigen |
Diese Ressource wurde unter folgender Copyright-Bestimmung veröffentlicht: Lizenz von Creative Commons