Muhtasari wa maelezo. Athari za janga la COVID-19 kwa wakimbizi na ulinzi wao nchini Kenya, Uganda, Ghana, Nigeria, Afrika Kusini na Zimbabwe

Bitte benutzen Sie diese Kennung, um auf die Ressource zu verweisen:
https://doi.org/10.48693/101
Open Access logo originally created by the Public Library of Science (PLoS)
Langanzeige der Metadaten
DC ElementWertSprache
dc.creatorSegadlo, Nadine-
dc.creatorKrause, Ulrike-
dc.creatorZanker, Franzisca-
dc.creatorEdler, Hannah-
dc.date.accessioned2022-04-21T09:30:09Z-
dc.date.available2022-04-21T09:30:09Z-
dc.date.issued2021-12-10-
dc.identifier.citationSegadlo, Nadine; Krause, Ulrike; Zanker, Franzisca; Edler, Hannah (2021), 'Muhtasari wa maelezo. Athari za janga la COVID-19 kwa wakimbizi na ulinzi wao nchini Kenya, Uganda, Ghana, Nigeria, Afrika Kusini na Zimbabwe', online.ger
dc.identifier.urihttps://doi.org/10.48693/101-
dc.identifier.urihttps://osnadocs.ub.uni-osnabrueck.de/handle/ds-202204216694-
dc.description.abstractJanga la sasa la COVID-19 linaathiri watu wote kote ulimwenguni lakini wale walio katika nafasi za hatari, ikiwemo wakimbizi na watu waliohamishwa, wanaweza kuwa katika hatari zaidi. Katika somo la karibuni, tuliangalia ambavyo janga la COVID-19 liliathiri wakimbizi na ulinzi wa kikimbizi katika nchi sita katika Afrika Magharibi, Afrika Mashariki na Afrika Kusini, kwa majina Ghana, Kenya, Nigeria, Afrika Kusini, Uganda, na Zimbabwe, katika mwaka wa kwanza wa janga na mpaka pia February 2021. Kwa kutumia dodoso lisilio la uwakilishi, tulitaka kupata yaliomo ndani katika mitazamo ya watu walio na mandhari nyuma ya kikimbizi, wasomi, wafanyakazi wa serekali na watendaji wa misaada wanaofanya na au kwa wakimbizi. Jumla ya 90 waliohojiwa walijaza dodoso.und
dc.relationhttps://www.arnold-bergstraesser.de/sites/default/files/muhtasari_wa_maelezo.pdfger
dc.rightsAttribution 3.0 Germany*
dc.rights.urihttp://creativecommons.org/licenses/by/3.0/de/*
dc.subjectCovid-19und
dc.subjectPandemicund
dc.subjectRefugeesund
dc.subject.ddc320 - Politikger
dc.titleMuhtasari wa maelezo. Athari za janga la COVID-19 kwa wakimbizi na ulinzi wao nchini Kenya, Uganda, Ghana, Nigeria, Afrika Kusini na Zimbabweger
dc.typeVerschiedenartige Texte [report]ger
Enthalten in den Sammlungen:FB01 - Hochschulschriften

Dateien zu dieser Ressource:
Datei Beschreibung GrößeFormat 
Zusammenfassung Swahili.pdf117,2 kBAdobe PDF
Zusammenfassung Swahili.pdf
Miniaturbild
Öffnen/Anzeigen


Diese Ressource wurde unter folgender Copyright-Bestimmung veröffentlicht: Lizenz von Creative Commons Creative Commons