Muhtasari wa maelezo. Athari za janga la COVID-19 kwa wakimbizi na ulinzi wao nchini Kenya, Uganda, Ghana, Nigeria, Afrika Kusini na Zimbabwe

Bitte benutzen Sie diese Kennung, um auf die Ressource zu verweisen:
https://doi.org/10.48693/101
Open Access logo originally created by the Public Library of Science (PLoS)
Titel: Muhtasari wa maelezo. Athari za janga la COVID-19 kwa wakimbizi na ulinzi wao nchini Kenya, Uganda, Ghana, Nigeria, Afrika Kusini na Zimbabwe
Autor(en): Segadlo, Nadine
Krause, Ulrike
Zanker, Franzisca
Edler, Hannah
Zusammenfassung: Janga la sasa la COVID-19 linaathiri watu wote kote ulimwenguni lakini wale walio katika nafasi za hatari, ikiwemo wakimbizi na watu waliohamishwa, wanaweza kuwa katika hatari zaidi. Katika somo la karibuni, tuliangalia ambavyo janga la COVID-19 liliathiri wakimbizi na ulinzi wa kikimbizi katika nchi sita katika Afrika Magharibi, Afrika Mashariki na Afrika Kusini, kwa majina Ghana, Kenya, Nigeria, Afrika Kusini, Uganda, na Zimbabwe, katika mwaka wa kwanza wa janga na mpaka pia February 2021. Kwa kutumia dodoso lisilio la uwakilishi, tulitaka kupata yaliomo ndani katika mitazamo ya watu walio na mandhari nyuma ya kikimbizi, wasomi, wafanyakazi wa serekali na watendaji wa misaada wanaofanya na au kwa wakimbizi. Jumla ya 90 waliohojiwa walijaza dodoso.
Bibliografische Angaben: Segadlo, Nadine; Krause, Ulrike; Zanker, Franzisca; Edler, Hannah (2021), 'Muhtasari wa maelezo. Athari za janga la COVID-19 kwa wakimbizi na ulinzi wao nchini Kenya, Uganda, Ghana, Nigeria, Afrika Kusini na Zimbabwe', online.
URL: https://doi.org/10.48693/101
https://osnadocs.ub.uni-osnabrueck.de/handle/ds-202204216694
Schlagworte: Covid-19; Pandemic; Refugees
Erscheinungsdatum: 10-Dez-2021
Lizenzbezeichnung: Attribution 3.0 Germany
URL der Lizenz: http://creativecommons.org/licenses/by/3.0/de/
Publikationstyp: Verschiedenartige Texte [report]
Enthalten in den Sammlungen:FB01 - Hochschulschriften

Dateien zu dieser Ressource:
Datei Beschreibung GrößeFormat 
Zusammenfassung Swahili.pdf117,2 kBAdobe PDF
Zusammenfassung Swahili.pdf
Miniaturbild
Öffnen/Anzeigen


Diese Ressource wurde unter folgender Copyright-Bestimmung veröffentlicht: Lizenz von Creative Commons Creative Commons